Header Ads

Habari Picha

Mkuu wa wilaya ya Masasi Selemani Mzee akijiandikisha katika daftari la makazi mjini masasi.


Inspekta Issa Asali kutoka Makao makuu ya Jesi la Polisi kitengo cha polisi Jamii akitoa elimu
ya kukabiliana na makosa ya kimtandao katika Kata ya Nangomba.



Inspekta Issa Asali na Donati Mushi kutoka CRDB wakiwa studio za Redio fadhila kutoa elimu ya makosa ya kimtandao.



Kaimu mkurugenzi Halmashauri ya mji Masasi Zuena Ungele akitia saini mkataba wa kuanza kwa ujenzi wa machinjio bora ya kuku katika halmashauri ya mji Masasi.




Kontrakta



eneo la macinjio lilivyo hivi sasa.


eneo la macinjio lilivyo hivi sasa.


Afisa Ardhi Geofrey Martin akionyesha ramani sehemu patakapojengwa machinio ya kuku eneo la Migongo.

No comments:

Powered by Blogger.