MASASI Baraza la Madiwani wilaya ya Masasi kwa kauli moja limepitisha makadirio
MASASI
Baraza la Madiwani wilaya ya Masasi kwa kauli moja limepitisha makadirio ya fedha kiasi cha Shilingi Bilioni 38 zitakazotumika kukamilisha miradi ya maendeleo kwa mwaka 2018/2019. Makamu mwenyekiti wa Halmashauri hiyo aliwasilisha makadirio hayo.
Naye Mkurugenzi Mtendaji wa halmashauri ya Masasi Changwa Mkwazu amesisitiza wazazi kutambua umuhimu wa elimu kwa watoto.Akieleze mkazo wa halmashauri yake katika kutimiza malengo ya milenia aliongeza.

No comments: