"Nimerudi tena' - Wema Sepetu
Muigizaji wa filamu mwenye nyota yake bongo na Afrika Mashariki Wema
Sepetu, amefunguka na kusema amejisikia vizuri na furaha kwa yeye kurudi
kwa mara nyingine katika mitandao ya kijamii.
Wema
amebainisha hayo asubuhi ya leo baada ya kukabidhiwa ukurasa wake wa
kijamii instagram na watu waliokuwa wanamhangaikia kuupata tokea
waharifu kuuiba kwa takribani mwezi mmoja sasa.
"Alhamdulillah nimerudi tena, huu wakati ni kweli. Namshukuru sana Tizzo, daah nime-miss kweli ukurasa wangu. Najua jinsi mlivyoni-miss kwa sana. 'But it feels good to be back", amesema Wema.
Kutokana na hilo, wapenzi na mashabiki wa Wema Sepetu wamepokea ujumbe huo kwa shauku kubwa huku wengine wakimpa maneno yenye faraja kutoka na kupotea mitandaoni kwa kipindi kirefu kidogo.

No comments: