Header Ads

Trump amteua msaidizi wake

Trump amteua msaidizi wake kuwa maneja wa kampeni ya uchaguzi mwaka 2020

Rais Donald Trump wa Marekani amemteua msaidizi wake wa muda mrefu Bw. Brad Parscale kuwa maneja wa kampeni yake ya uchaguzi mkuu wa mwaka 2020. Timu ya kampeni ya rais Trump imesema Bw. Parscale ni mtu muhimu katika kufanikisha kampeni ya mwaka 2020. Taarifa iliyotolewa na timu hiyo pia inasema inajiandaa kwa ajili ya uchaguzi wa kipindi cha kati utakaofanyika mwezi Novemba mwaka huu, ambayo inasema si kama tu matokeo yake yataathiri urais wa Trump, na bali pia yatajenga upya mazingira ya kisiasa katika miaka ijayo.

No comments:

Powered by Blogger.