Imetokea ajari kubwa ya gari aina ya roli lilokuwa limebeba mbao katika kijiji cha chakama tukae wote wilayani masasi lilokuwa na watu 6 na mmoja kufari hapo kwa hapo na 2 majeruhi na 3 wazima na dereva kukimbia inasemekana chanzo ni mwendo mkali wa gari.( PICHA ZA AJARI)
No comments: