Header Ads

COSTA AFUNGA ATLETICO MADRID YAIBAMIZA 3-0 LOCOMOTIV MOSCOW

 Diego Costa akishangilia kwa kuinua vidole juu baada ya kuifungia bao la pili Atletico Madrid dakika ya 47 katika ushindi wa 3-0 dhidi ya Locomotiv Moscow usiku wa jana Uwanja wa Wanda Metropolitano mjini Madrid kwenye mchezo wa kwanza wa hatua ya 16 Bora Europa League. Mabao mengine ya Atletico Madrid yamefungwa na Saul Niguez dakika ya 22 na Koke dakika ya 90


No comments:

Powered by Blogger.