Diamond Aliweka Hadharani Penzi la Mavoko na Lulu Diva
Staa wa muziki wa Bongo fleva Diamond Platnumz ameliweka hadharani
penzi la msanii wa Bongo fleva kutoka WCB Rich Mavoko na Lulu Diva.
Kwa muda mrefu kumekuwa na tetesi kuwa msanii wa muziki Lulu Diva na Rich Mavoko ni wapenzi ingawa wenyewe wamekataa mara kwa mara kuwa hawana uhusiano wowote.
Lakini Diamond ametoa siri hiyo ya muda mrefu na kulianika penzi hilo Hadharani baada ya kumposti Lulu kwenye ukurasa wake wa Instagram Ikiwa ilikuwa ni birthday ya Lulu Diva.
Kwenye posti hiyo Diamond aliwataka Rich Mavoko na Lulu Diva waache kujificha na badala yake wakae na wazae mtoto wao:

No comments: