Header Ads

Kaa mkao wa kula kusubilia video ya Linje Classic


Wasanii wa mziki wa bongo fleva kutoka masasi wakiwa wapo Location ya kichupa (video) cha Linje Classic ,wanamziki wa kizazi kipya kutoka masasi wamekuwa wakijituma zaidi ili kufikia malengo yao katika mziki wengi wamejiajili katika fani zao hususani katika mziki wakiwa na matumaini makubwa ya kufika mbali hata kufanya kazi na wasanii wakubwa ndani ya tanzania na nje pia ,baadhi ya wasanii wamekuwa wakilala mikia kutukuwapo na kituo cha luninga (TV) wengi wakidai kuwa kingewasaidia zaidi kutangaza kazi zao na zikatambulika kwa jamii hata kuuza kazi zao  ikumbukwe awali kulikuwa na luninga (TV) Hapa masasi  (MASASI TV)  ilisaidia zaidi kutoa taarifa mbalimbali matukio, michezo ivi sasa imebaki kama kumbukumbu tu hakuna kilichoendelea kutokana na kubadilishwa kwa mfumo wa urushaji matangazo ,hata hivyo swala hili limekuwa halizungumziwi kabisa katika mikutano ya viongozi hata afisa utamaduni , swala la kujiuliza je wananchi wa masasi hawatakiwi kuwa na tv? na majengo yale sasa yanatumika au yamebaki kuwa gofu je vifaa vipo maafisa habari wa wilaya mpo basi hata mpago ule wa radio za wilaya uko wapi? tujifunze pia kwa wenzetu majirani zetu wilaya ya newala wana radio ya wilaya je katika wilaya ya masasi iko wapi?.   kaa mkao wa kula kusubilia video ya Linje Classic

No comments:

Powered by Blogger.