Header Ads

KombeLaShirikishoAfrika

 Moto utawaka katika dimba la Taifa Dar es Salaam, ni mbungi kati ya Simba SC vs Al Masry kutoka nchini Misri.

Hiki ndicho kikosi cha Simba kitakachokuwa dimbani kuanzia saa 12:00 jioni. Kumbuka mtanange huu utaletwa kwako LIVE kupitia #AzamSports2.

No comments:

Powered by Blogger.