LIVERPOOL YAMALIZANA KWA SARE NA PORTO, 0-0 ANFIELD
Sadio
Mane wa Liverpool akiruka juu kuwania mpira katikati ya wachezaji wa
Porto usiku wa Jumanne katika mchezo wa marudiano hatua ya 16 Bora Ligi
ya Mabingwa Ulaya uliomalizika kwa sare ya 0-0 Uwanja wa Anfield.
Liverpool inasonga mbele kwa ushindi wa jumla wa 5-0 ilizozipata kwenye
mchezo wa kwanza mjini KWA PICHA ZAIDI TAZAMA HAPA






No comments: