Header Ads

NEYMAR NA MASTAA WENZAKE WA BRAZIL BAADA YA UPASUAJI

Neymar akiwa na nyota wenzake wa fani mbalimbali Brazil kutoka kushoto mwigizaji, Rafael Zulu, Mtangazaji wa TV, Luciano Huck na mwimbaji Thiaguinho wakimfariji mchezaji huyo wa Paris Saint Germain baada ya kufanyiwa upasuaji juu kufuatia kuumia mwezi uliopita

No comments:

Powered by Blogger.