Header Ads

Serikali yataka mikataba kwa vibarua

Naibu Waziri  wa Kazi, Vijana na Ajira, Mhe. Antony Mavunde amewataka waajiri kuhakikisha wanatoa mikataba kwa vibarua wanaowapa kazi hata kama ni kazi za muda ili kuondoa msuguano baina ya viwanda na vibarua hao.

Mh. Mavunde ameyasema hayo mara baada ya kutembelea baadhi ya viwanda Jijini Dar es saam nakukutana na malalamiko kutoka kwa vibarua hao na wafanyakazi.
Aidha Mh. amesea imekua ni hali ya kawaida kwa baadhi ya wamiliki wa viwanda na kampuni kushindwa kutoa mikataba ya kazi kwa vibarua na wafanyakazi wao hali ambayo serikali imekataa hali hiyo na kuagiza utoaji wa mikataba ili kuwalinda wafanyakazi.

No comments:

Powered by Blogger.