Serikali yawapa onyo wakazi wa mabondeni
Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano kupitia Mamlaka ya Hali ya
Hewa imewaonya kwa mara nyingine wakati wa mabondeni kuchukua tahadhari
kufuatia mvua kubwa zinazotabiriwa kunyesha ndani ya mwezi huu kwani
zinasababisha mafuriko makubwa.
TMA ilisema mvua zilizoanza jana zinatarajiwa kuongezeka katika baadhi ya maeneo ya kati ya nchi kuanzia leo, hivyo ni vyema wakazi wa mabondeni wakachukua tahadhari ikiwamo kuhama maeneo
hatarishi.
TMA ilisema mvua zilizoanza jana zinatarajiwa kuongezeka katika baadhi ya maeneo ya kati ya nchi kuanzia leo, hivyo ni vyema wakazi wa mabondeni wakachukua tahadhari ikiwamo kuhama maeneo
hatarishi.

No comments: