Header Ads

SON HEUNG-MIN APIGA MBILI SPURS YAIBAMIZA 4-1 BOURNEMOUTH

 Son Heung-min akikimbia kushangilia baada ya kufunga mabao mawili dakika za 62 na 87 katika ushindi wa 4-1 wa Tottenham Hotspur dhidi ya AFC Bournemouth usiku wa Jumapili Uwanja wa Vitality. Mabao mengine ya Spurs yamefungwa Dele Alli dakika ya 35 na Serge Aurier dakika ya 90 na ushei




No comments:

Powered by Blogger.