Young Killer Arudisha Majeshi Kwa Miss Hip-Hop
hivi karibuni siku ya wanawake duniani katika snapchat ya msanii huyo ilionekana picha ya mwanadada huyo ambae alikuwa mpenzi wake na ikasemekana kuwa aliachana nae lakini inavyoonekana ni kwamba wawil hao wako pamoja tena
Miss hip-hop na Young killer wamekuwa wapenzi kwa miaka mingi , lakini hapo katikati waligombana na kushindwa kukaa pamoja.


No comments: