AJALI NYINGI HUPOTEZA MAISHA AMBAYO NI NGUVU KAZI YA TAIFA. HII IMETOKEA ENEO LA CHANIKA NGUO MASASI.
Ajali mbaya imetokea katika eneo la karibu na kijiji cha Chanika Halmashauri ya Mji Masasi ambapo mtu mmoja amekufa tarehe 16.4.2018
Ajali hii inetokea majira ya usiku kama inavyojieleza.
Hivi ndivyo uharabifu ulivyokuwa.
Hili ndilo gari lilihusika ambali hufanya safari zake kati ya Mtwara na Masasi
Ajali hii inetokea majira ya usiku kama inavyojieleza.
Hivi ndivyo uharabifu ulivyokuwa.
Hili ndilo gari lilihusika ambali hufanya safari zake kati ya Mtwara na Masasi

No comments: