Mkuu wa Mkoa atoa onyo sakata la boti
Picha haihusiani na habari hii.
Akizungumza
mara baada ya kuzindua boti hilo mkuu wa mkoa wa Tanga Martine Shigela
ameviagiza vyombo vya ulinzi na usalama kuhakikisha kuwa boti hilo
linafanya kazi kwa saa 24.
Mhe. Martine Shigela amesema kuwa kwa sasa wafanyabiashara wa magendo wasifikiri tena kuna njia katika pwani ya bahari Hindi hivyo ameagiza meli hiyo ifanye kazi ipasavyo.
Kwa upande wake meneja wa bandari mkoa wa Tanga Percival Salama amesema uboreshaji wa Bandari hiyo unaoendelea ambapo mpaka sasa ujenzi wa gati namba mbili unaoendelea bandarini hapo umefikia karibu asilimia 70 wa wanatarajia ifikapo mwezi wa sita itakua imekalika.

No comments: