PICHA ZETU MBILI ZINATUPA HALI YA MASASI NA KUMBUKUMBU YAKE.
Barabara zinazopitka wakati wote hurahisisha mawasailiano. Hivi ndivyo inavyoonekana barabara kutoka masasi mjni kuelekea kaya ya Mkarango ilivyoharibiwa na mvua. Malengo ya Milenia yatafikiwaje katika hali?
Kumbukumbu iliyobaki ya sehemu ambapo treni kutoka Mtwara-Nachingwea -Masasi inavyoonekana, Hapo ndipo treni ilipokuwa inasimama. Ni karibu na kiwanda cha kuvbangulia korosho cha Perfect mjini Masasi. Tuna imani siku moja huduma hizi zitarudi.

No comments: