Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli amemteua Prof. Isaya Jayambo
Jairo kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu
(NBAA).
Taarifa
hiyo imetolewa na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi na kueleza
kuwa uteuzi huo wa Prof. Jairo unaanza leo Aprili 11, 2018.
Soma hapa chini kwa taarifa kamili.
No comments: