Katika jitihada za kumtua mama ndoo maji safi yabidi yafike karibu na wananchi. Kanisa Angalikana masasi haliko nyuma katika kuiunga mkono serikali. Askofu James Almasi anaoenkana pichani katika harakati hizo.
Maji yakiwepo wananchi hufurahi hizo ni juhudi za Kanisa Angalikana Masasi.
No comments: