Halmashauri ya Wilaya ya Masasi imefanikiwa kununua gari
Masasi Dc
Halmashauri ya Wilaya ya Masasi imefanikiwa kununua gari lenye thamani ya shilingi milioni 89 kwa kutumia fedha za mapato yake ya ndani. lengo ikiwa ni kuongeza kasi ya ukusanyaji wa mapato ili kuweza kukusanya fedha za kutosha kwa ajili ya kutekeleza shughuli mbalimbali katika kuwahudumia wananchi.
Halmashauri imekuwa na uhaba mkubwa wa magari baada ya kuchomewa magari kwenye vurugu zilizotokea tarehe 26, Januari 2013.

No comments: