Header Ads

Hotuba za ufunguzi wa maadhimisho ya Uhuru wa vyombo vya hab

*Hotuba za ufunguzi wa maadhimisho ya Uhuru wa vyombo vya hab*
Mgeni rasmi.. Job Ndugai
#Nawashukuru sana wanahabari kwa kuamua kuiunga mkono serikali ya awamu ya tano kwa kuamua kuja Dodoma

#Vyombo vya habari vina mchango mkubwa kwa ustawi wa jamii
#kongamano hili la siku ya kwanza limekaa kitaaluma zaidi hiyo jadilini kwa kina changamoto za tasnia yetu.
#licha ya mafanikio lakini kuna maeneo muhimu ambayo siyo mazuri, mfano fake news hivi karibuni imekuwa ni tatizo Nchini.
#Matumizi ya mitandao imekuwa ni shida hivi sasa kila MTU ni mwandishi wa habari
#wajibu wa vyombo vya habari vinawajibika kwenye kupambana na rushwa na kuwataja wala rushwa.

#Vyombo vya habari vina wajibu wa kuandika habari za kuchochea maendeleo.
#waandishi wasidharau wabunge kwa kuona hawana uelewa wowote.
#Bunge linahitaji ushirikiano na wabunge kuanzia hitaji la waandishi kukutana na kamati zozote za Bunge nafasi ipo wazi
Jane Mihanji...M/kiti UTPC

Vyombo vya habari vinafanya kazi kwa uoga sana vinapotimiza wajibu wao.
Salome Kitomari... Vyombo vya habari vinahitaji mashirikiano na wadau wengine.

No comments:

Powered by Blogger.