Header Ads

RONALDO "BYE BYE" MADRID?


Maswali yamezidi kuongezeka kuhusu mustakabali wa mshambuliaji nyota wa Real Madrid, Cristiano Ronaldo baada ya kukosekana kwenye upigaji picha wa uzinduzi wa jezi mpya zitakazotumiwa na timu hiyo kwa msimu wa 2018/19.

No comments:

Powered by Blogger.