Maandamano yamponza Mbuge wa CHADEMA
Mbunge wa Bukoba Mjini, Wilfred Lwakatare amezuiwa na Jeshi la polisi
nchini kufanya mkutano wa hadhara ambao ulipangwa kufanyika leo Februari
28, 2018 jimbo Bukoba Mjini katika uwanja wa Soko la Rwamishenye.
Taarifa iliyotolewa na jeshi la polisi inasema wamezuia mkutano huo kutokna na hali ya usalama katika wilaya hiyo na kuhusu taarifa za watu kushawishiwa kuandamana kwenye mitandao ya jamii.
Taarifa iliyotolewa na jeshi la polisi inasema wamezuia mkutano huo kutokna na hali ya usalama katika wilaya hiyo na kuhusu taarifa za watu kushawishiwa kuandamana kwenye mitandao ya jamii.

No comments: