MAREFA WA AFRIKA KUSINI KUCHEZESHA SIMBA SC NA EL MASRY
SHIRIKISHO
la Soka Afrika (CAF) imewapanga waamuzi kutoka nchini Africa Kusini
kuchezesha mchezo wa Kombe la Shirikisho Barani Africa Simba ya Tanzania
itakapocheza na El Masry ya Misri Machi 7,2018 Uwanja wa Taifa saa 10
kamili jioni.
Mwamuzi wa kati atakuwa Thando Helpus Ndzandzeka akisaidiwa na Zakhele Thusi Siwena mwamuzi msaidizi namba moja na Athenkosi Ndongeni mwamuzi msaidizi namba mbili wakati mwamuzi wa akiba atakuwa Christopher Harrison na kamishna wa mchezo huo Tuccu Guish Chrbremedhin kutoka Eritrea.

Mchezo wa marudiano utachezwa huko Port Said Machi 17, 2018 utachezeshwa na waamuzi kutoka Eritrea.
Mwamuzi wa kati kati atakuwa Yonas Zekarias Ghetre akisaidiwa na Angesom Ogbamarian mwamuzi msaidizi namba moja na Yohannes Tewelde Ghebreslase mwamuzi msaidizi namba mbili wakati mwamuzi wa akiba atakuwa Yemane Asfaha Gebremedhin na kamishna wa mechi hiyo anatoka Libya Gamal Salem Embaia.

No comments: