Header Ads

MASASI KUCHEREEEEEEEEEEE


TAARIFA KWA UMMA
Waziri MKuu wa Jamuhuri ya Muunganno wa Tanzania Mhe Kassim Majariwa atafanya ziara ya kikazi wilayani Masasi kwa muda wa siku mbili yaani tarehe 26-27 feburuari, 2018. Akiwa Masasi atakagua na kuzindua jengo la wodi ya akina mama na watoto katika kituo cha afya chiwale, ataongea na watumishi wa wilaya ya Masasi na kufanya mikutano ya hadhara kwa wananchi Katika viwanja vya sabasaba mjini Masasi na chiungutwa

No comments:

Powered by Blogger.