TAASISI
ZATUNUKIWA NGAO: Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu
imewatunuku waajiri waliofanikisha kurejesha mikopo kwa ufanisi.
Waajiri hao ni pamoja na taasisi za taasisi za serikali za kidini pamoja na binafsi 15 ambazo zimetunukiwa ngao.
Tukio hilo limefanyika kwenye Ofisi za Bodi ya Mikopo ambao wamesema kwa sasa wamefanikiwa kuongeza ufanisi katika ukusanyaji wa mikopo kwa mwezi kutoka bilioni mbili hadi bilioni 13.

No comments: