Header Ads

Wafuasi 3 wa CHADEMA waliojeruhiwa waachiwa

Wafuasi 3 wa CHADEMA waliojeruhiwa kwa risasi katika maandamano ya uchaguzi mdogo Kinondoni wamesomewa kosa la kufanya maandamano yasiyo rasmi Mahakama ya Kisutu.
Wameachiwa kwa dhamana, masharti ni bondi ya Mil.1.5, mdhamini mmoja na kutotoka nje ya nchi.

No comments:

Powered by Blogger.