Bonanza Kati ya Masasi veteran's na ndanda veteran's
Bonanza Kati ya Masasi veteran's na ndanda veteran's lilifanyika katika viwanja vya shule ya sekondari ndanda ambapo Masasi veteran's
wameshinda katika mchezo wa netibali na mpira wa miguu.
Veteran's Ni Timu ya michezo mbalimbali ambapo wachezaji wake ni wa kuanzia umri miaka 30 na kuendelea, Lengo la Timu hii ni kuwaweka watu sawa kiafya lakini pia kufahamia kwani makundi ya watu hawa wengi wana shughuli zao kiasi kwa wanakosa muda wa kushoriki michezo ya kimashindano.
Ikumbukwe kuwa serikali inahimiza watu kufanya mazoezi ili waweze kuepuka kupata magonjwa yanayosababishwa na kuto fanya mazoezi.

No comments: