Header Ads

DZEKO AIPELEKA ROMA ROBO FAINALI LIGI YA MABINGWA ULAYA



Mshambuliaji Edin Dzeko akimpiga tobo kipa wa Shakhtar Donetsk, Andriy Pyatov kuifungia bao pekee Roma dakika ya 52 ikishinda 1-0 katika mchezo wa marudiano hatua ya 16 Bora Ligi ya Mabingwa Ulaya usiku wa jana Uwanja wa Olimpiki mjini Roma na kufanya sare ya jumla ya 2-2 baada ya kufungwa 2-1 kwenye mchezo wa kwanza Uturuki. Roma inakwenda Robo Fainali kwa faida ya mabao ya ugenini, ikiungana na Juventus, Real Madrid na Sevilla zilizozitoa PSG, Tottenham na Manchetser United



No comments:

Powered by Blogger.