Kipa
David De Gea akiwa mnyonge baada ya kufungwa bao la pili na Wissam Ben
Yedder wa Sevilla usiku wa Jumanne, Manchester United wakichapwa 2-1
katika mchezo wa marudiano hatua ya 16 Bora Ligi ya Mabingwa Ulaya na
kutolewa baada ya sare ya 0-0 kwenye mchezo wa kwanza Hispania. Ben
Yadder alifunga dakika za 74 na 78, wakati bao la United lilifungwa na
Romelu Lukakiu dakika ya 84 Uwanja wa Old Trafford
MAN UNITED YAPIGWA 2-1 OLD TRAFFORD NA KUTUPWA NJE LIGI YA MABINGWA
Reviewed by
fadhilaradio
on
9:24 PM
Rating:
5
No comments: