HABARI KATIKA PICHA MKUU WA WILAYA MASASI SELEMANI MZEE AKIPOKEA TAARIFA YA UWEZO KATIKA SHULE YA MSINGI CHIKUNJA W
Mkuu wa wilaya ya Masasi Selemani Mzee (kulia)akiwa tayari kupokea taarifa ya Uwezo kwa wikaya ya Masasi katika kijiji cha Chikunja kuhusu uwezo wa kusoma.
Wanafunzi wa shule ya msingi Chikunja wilaya ya Masasi, wakiytumbuiza wakati wa makabibithiano hayo.
Jengo la Zahanati ya Nanjota la kupolelea wagonjwa.
Wanafunzi wa Shule ya msingi Chikunja wakisubiri kusikiliza taarifa ua Uwezo
Wakazi wa Chikunja nao walikuwepo.
Ajali ya Basi la abiria eneo la kijiji cha Mumbaka Masasi
Seti ya vifaa Tiba ya meno katika Zahanati ya Nanjota. wilayanai Masasi.
Jinsi meno yalivyo.
Baadhi ya wagonjwa katika Zahanati ya Nanjota.










No comments: