Header Ads

HABARI PICHA MKUU WA WILAYA MASASI SELEMANI AKIJIANDIKISHA KATIKA DAFTARI LA MAKAZI. PIA INSPEKTA ISSA ASALI AKITOA ELIMU YA MITANDAO NA KAIMU MKURUGENZI MJI MASASI AKITIA SAINI UJENZI WA MACHINJIO SALAMA.

 Mkuu wa wilaya ya Masasi Selemani akijiandikisha kwenye daftari za makazi katika Kata ya Wapiwapi mjini Masasi.
 Baadhi ya wakazi waliojitokeza kusikiliza elimu ya mitandao Kata ya Nangomba wilaya ya Nanyumbu kutoka kwa Inspekta Issa Asali.

 Inspekta Issa Asali pamoja Afisa wa Benki ya CRDB tawi la masasi wakitoa elimu ya mitandao.

 Zuena Ungele Kaimu mkurugenzi halmhashauri ya mji Masasi akitia saini makubaliano na Shirika la AghKhan Foundation ujenzi wa machinjio ya kuku yaliyo salama hivi karibuni.
 Mazuni aliyeshinda zabuni hiyo ya ujenzi akitia saini
 Haki ilivyo hivi sasa katika machinjio hayo eneo la Wabiso.
 Jionee weneyewe kuhusu Afya zetu.
Afisa Ardhi Geofrey Martin akioneysha ramanai ya eneo hilo sehemu ya Migongo .

No comments:

Powered by Blogger.