Hakuna Mfanyabiashara Anaetaka Hasara Kisa Uzalendo-Shamsa Ford
Kulitokea maneno mengi sana hivi karibuni kuhusu mwanamama zari the
bossy kutoka uganda kupat amkataba wa deal nono la kutangaza pampers za
watoto huku katika mitandao ya kijamii watu walikuwa wakilalamika kwamba
kwanini imekuwa hiyo wakati wasanii wengi wazawa wapo nchini, ina maana
hakunanuzalendo wa hawa wazalishaji mpka kuchagua zari badala ya
wasanii wengine wa kike .
Baada ya hayo yote , shamsa nae amefunguka na kutoa yake ya moyoni kuhusu lawama hizo ambazo zimekuwa nyingi katika mitandao ya kijamii kuhusu swala hilo.shamsa ansema kuwa kunavigezo na masharti mengi sana kampuni huyazingatia mpka kumchagua mtu kuwa balozi wa bidhaa zao.
morning my pipo naona watu wanalalamika kwa nini madeal yanapita tu kwa mastar wa bongo na wageni ndio wanapata nafasi hiyo.mimi nina mtazamao tofauti kabisa kuhusu hilo .kabla ya kumtafuta mchawi nani ni bora kwanza ujikague mwenyewe.ninaamini kil biashara ina conditions zake na kila biashara inahitaji faida.hakuna mfanya biashara atakaekubali kumchukua msanii wa bongo alafu baadae akubali kupata hasara.tusipinge ukweli kuwa sisi wenyewe tumevunja uaminifu na wafanyabiashara wakubwa kutokana na matendo yetu wenyewe.tunapozungumzia kuwa ambassador unazungumzia kubeba brand ya mtu, sasa nani anataka kuchafua brand yake kubebwa na mtu asieleweka, swala sio kujulikana tu swala ni kwamba unajulikana vipiwatu wanakutambua kwa lipi kisha akili kichwani mwako, ni vizuri kama tumeumia hivyo tujipange na kufukia mashimo ili na sisi tuheshimike na kuthaminika …niliowakera mnisamehe tu lakini inabidi tuishi kwa kuambiana.-Aliandika Shamsa Ford katika ukurasa wake.

No comments: