Dimpoz Hana mvuto, Hajakaa Kama Mwanaume-Amber Lulu
Msanii wa muziki bongo Amber Lulu amefunguka na kusema kuwa msanii
Ommy Dimpoz hana mvuto wa kuwa mwanaume anaeweza kumuona kwa sababu
amekaa kama kongo au mtu hasiejielewa hivi.Akiongea katika online tv ya
Jonijo, mwanamuziki huyo alifunguka hayo alipoulizwa kuwa ikitokea kati
ya jux na ommy dimpoz wakataka kumuoa ni na atamchagua ndipo alipokuja
na majibu haya.
‘Unanitafutia bifu za Vannesa lakini obviously nitamchagua jux na wala sio ommy kwa sababu kwanza ommy hana ule mvuto na hajakaa kama mwanaume,yaan hajakaa kivile ila jux ndo yule mwanaume ambae hata ukimwamnagalia kwa macho tu unaona , lakini Ommy Dimpozi hawezi kukaa sehemu moja na Jux ku-battle ni zero yani hana mvuto sijaona kitu ambacho kimenivutia kwake.”
No comments: