Irene Uwoya amchimba mkwara Dogo Janja
Kwenye
ukurasa wake wa instagram, Irene uwoya amepost picha ya dogo ikiwa na
caption kuwa msanii huyo huenda akaoa mke wa pili, na kuandika ujumbe
ambao unaonyesha hakutakuwa na amani baina ya waili hao.
“Ndo utajua mimi Kabila gani...thubutu uwone tena wasikudanganye Dogo Janja”, ameandika Irene Uwoya.
Baada ya mkwara huo watu walionesha kmshangaa Uwoya kwa uamuzi huo, wakisema kwamba hakupaswa kusema hivyo kwani dini inamruhusu Dogo Janja kufanya hivyo.

No comments: