Mkurugenzi
Mkuu wa shirika la Umoja wa mataifa la kuendeleza viwanda - UNIDO Bw.
Li Yong amesema yupo nchini Tanzania kujifunza, kusikiliza, na
kujadiliana na wadau kuhusu njia bora ya kusaidia maendeleo ya viwanda
nchini.
Mkurugenzi Mkuu wa shirika la Umoja wa mataifa la kuendeleza viwanda
Reviewed by
fadhilaradio
on
8:12 PM
Rating:
5
No comments: