Serikali imeombwa kuchukua hatua kali
Serikali imeombwa kuchukua hatua kali ya kudhibiti vipigo kwa kutumia
silaha za jadi dhidi ya wanawake wilayani Serengeti pamoja na tatizo
kubwa la ukeketaji watoto wa kike, hatua ambayo inafanya wilaya hiyo
kuwa na kiwango cha juu cha vitendo vya ukatili na unyanyasaji wa
kijinsia dhidi ya wanawake na watoto wa kike mkoani Mara.
No comments: