Header Ads

MKUTANO WA INJLI UNAO ENDELEA KATIKA KANISA LA FPCT MASASI JIRANI NA KWA DK.MWAMBE


 Mwalimu Isaya Nyete katika mkutano wa injli unaofanyika katika kanisa la FPCT akifundisha neno la mungu, pa wale wenye matatizo mbalimbali wanakalibishwa katika mkutano huo unaofanyika katika kanisa hilo jilani kabisa na kwa DK. mwambe kuanzia saa 11 jioni hadi saa 12 jioni


 mwinjilist COSMAS MILANZI  akitowa neno katika mkutano wa injili kanisa la FPCT jirani na kwa DK. mwambe
 wapiga vyombo vya mziki wa injili katika mkutano huoo







No comments:

Powered by Blogger.