Diamond: Media Zinazokataa Kupiga Nyimbo Zangu Zinapotea
Mwanamuziki wa Bongo fleva na CEO wa label ya WCB, Diamond Platnumz
amefunguka na kusema kuwa chombo chochote cha habari ambacho kinaibania
WCB kwa njia yoyote basi kitapotea kwani yeye ni kama maji usipokunywa
utayaoga.
Diamond amekuwa mmoja wa wasanii ambaye amekuwa na migogoro na media
mbali mbali ambapo siku za hivi karibuni Kumekuwa na sintofahamu kati
yake na mkurugenzi wa Clouds Fm, Ruge...

No comments: