Mr Nice Hana Msanii Bora Katika Muziki Zaidi Yake.
Msanii wa siuku nyingi ambae alikuwa mkali wa style ya takeu nchini,
mr nice amefunguka na kusema kuwa katika mzuikiwa bongo hakuna msaniii
anayemkubali zaidi yake mwenyewe tu.mr nic anasema kuwa tangu muziki
uanze yeyye ndio msanii bora na hana mpinzani katika hilo.
Mr Nice anasema kuwa pamoja na kwamba mwanadada kama Jay Dee ni mkongwe mwenzake na ndio maana anamheshimu na pia Profesa Jay lakini pia Chamelion ni rafiki yake sana hawezi kumuacha lakini hao wengine hana ona wa kumtaja zaidi ya jina lake.

Lady Jay Dee ni legendari mwenzangu, ni wanamuziki wenzangu na hivyo hivyo kwa Profesa Jay.
Jose chamelion ni msanii mwenzangu ambae ninaweza kuvua viatu vynagu nikamwambia vaa viatu vyangu jose.,dah huyu mtu , unajua mimi huwa simkubali msanii mwengine yeyote na hata ukiniambia nitaje list ya top five nitataja jina la Mr Nice tu.
No comments: