Cristiano Ronaldo akiwaongoza wachezaji wenzake wa Real Madrid, Casemiro na Marcelo kwa
safari ya Paris nchini Ufaransa kwa ajili ya mchezo wa marudiano hatua
ya 16 Bora Ligi ya Mabingwa Ulaya dhidi ya wenyeji, Paris Saint-Germain
kesho
RONALDO ALIVYOWAONGOZA WENZAKE REAL MADRID KUIFUATA PSG LEO
Reviewed by
fadhilaradio
on
3:48 AM
Rating:
5
No comments: