Timbulo Adaiwa Kufunga Ndoa Ya Siri Siri
Msanii wa muziki wa Bongo fleva Timbulo amedaiwa kufunga ndoa ya
Kisiri siri na mzazi mwenzake ambaoo inadaiwa alisafiri kwenda Mbeya
kuoa kimya kimya.
Timbulo amefanikiwa kupata mtoto Miezi michache iliyopita na sasa inasemekana ameamua kuweka kila kitu vizuri kwenye mstari na kumuoa mzazi mwenzake kihalali kabisa.
Kwenye mahojiano aliyofanya na Enews ya East Africa Tv, Timbulo amekiri kuoa Miezi michache iliyopita na alidai hakutangaza kwani anaamini ni maisha yake binafsi.

Lakini pia Timbulo amesisitiza sababu ya kuweka ukimya juu ya ndoa yake ni kwa sababu anaamini maisha yake binafsi ni yake binafsi na hapendi familia yake iwe sehemu ya kiki.Ni ukweli ndoa ni kifungo muda mrefu na kama ilivyodaiwa ilikuwa ni ya kimya kimya wala sio kitu cha uongo ila ni muda mrefu kwaiyo inawezekana watu walikuwa wananiona lakini walikuwa hawajui kuwa nimeoa na nimeoa muda mrefu na sasa hivi familia yangu inaendelea na maisha mengine”.

No comments: