Header Ads

Namkubali Alikiba ila Ana-gap Kwenye Uvaaji:-Q-Boy

Msanii wa muziki ambae pia ni mbunifu wa mavazi,  Q-Boy msafi amefunguka na kusema kuwa amekuwa akimkubali sana Alikiba kutokana na kazi zake lakini anaona kuwa kuna kitu kimepungua katika mavazi na anaona itakuwa poa kukirekebisha ili mambo yaende sawa.
nina-apreciate sana kile anachokifanya lakini sasa naona kana yeye ni mtu ambae kuna gap katika swala zima la uvaaji wake na kaka nitapata nafasi ninaweza kufanya kitu kile ambacho upeo wangu  nilikuwa naona kwamba  kuna kitu hiki na hiki  naweza kukiweka hapa ambacho kinaweza kuleta utofauti kidogo.-Alizungumza q boy alipokuwa akiongea na bongo 5
Hata hivyo Q-Boy amesema kuwa yeye kusema hivyo haimaanishi kuwa yule anaemvalisha Alikiba amekuwa na hajui anaanakosea kumvalisha lakini  anaona kuna vitu kidogo vinahitaji kukaa tofauti katika mavazi.

No comments:

Powered by Blogger.