UJUMBE WA KATIBU MKUU UN, ANTÓNIO GUTERRES
Tupo katika kipindi muhimu kuhusu haki za wanawake. Historia na
miundo ya ukosefu wa usawa ambao umeruhusu ukandamizaji na ubaguzi
kushamiri kwa muda mrefu, sasa umewekwa hadharani. "Kufikia usawa
wa jinsia na kuwawezesha wanawake na wasichana ni jukumu letu la sasa,
na changamoto kubwa zaidi ya haki za binadamu duniani kote.

No comments: