MAUAJI DHIDI YA MWANDISHI WA HABARI:
Kesi ya mauaji dhidi ya mwanasayansi wa Denmark, Peter Madsen anayetuhumiwa kumuua kisha kumtenganisha shingo na kiwiliwili mwandishi wa habari, Kim Wall inaanza kusikilizwa leo.
Kichwa na kiwiliwili vya Kim vilipatikana baharini vikiwa kwenye mifuko migumu vilivyowekwa pamoja na vitu vizito ikiaminiwa kulikuwa na jitihada ya kuvizamisha.


No comments: