UTAFUTAJI SULUHU
Korea Kusini imetangaza mpango wake wa kupeleka mjumbe maalumu nchini Korea Kaskazini.
Kwa mujibu wa Shirika la habari la Yonhap la Korea Kusini leo, Jumamosi limesema, Ikulu ya nchi hiyo wiki ijayo itatangaza mpango huo kwa lengo la kuendeleza mazungumzo ya kurejesha mahusiano yao na jirani zao hao.
Ziara hiyo itakuwa ni majibu ya ziara iliyofanywa na Kim Yo Jong nchini Korea Kusini ambaye ni dada mdogo wa Kiongozi wa Korea Kaskazini, Kim Jong Un.

No comments: