Header Ads

AMKA NA RADIO FADHILA 95.0 FM -- masasi 11 arfajiri--2 asubuhi MADA YA LEO


Mbunge wa viti Maalum CUF Rukia Kassim Ahmed, ashauri wanaume wote wanaofanya vitendo vya ukatili kwa watoto  watakaobainika na makosa ya ubakaji wa watoto wadogo.  wahasiwe ili kukomesha vitendo hivyo nchini.
Je, adhabu ya namna hii inaweza kumaliza tatizo? naUnapendekeza adhabu gani nyingine kwa wanaume wenye tabia hizi?

No comments:

Powered by Blogger.