Header Ads

RAIS MSTAAFU WA AWAMU YA NNE BENJAMINI MKAPA NA MKEWE MAMA ANNA MKAPA AWATEMBELEA WASALVATORIAN WAKATI WA SIKUKUU YA PASAKA.MIGONGO REDIO FADHILA IPO ENEO HILO.

 Raisi mstaafu wa awamu ya nne Mh, Benjamin Mkapa akisalimiana na masista wa Shirika la Mungu Mwokozi alipotembelea Nyumba ya Mapadre na Mabruda Wasalvatorian wakati wa Sikukuu ya Pasaka 2018

 Mke wa Rais mstaafu Mama Anna Mkapa akisalimiana na masista.

Rais Mstaafu Benjamin Mkapa akiwa katika picha ya pamoja na watawa .

No comments:

Powered by Blogger.