Bw. Benjamin H. Ellis (Press and Information Officer) kutoka Ubalozi wa Marekan )kulia) akiongozana na Bw. Japhet Sanga (kushoto) wametembelea Radio Fadhila tarehe 4.4.2018 kujionea wenyewe jinsi kituo kinavyoendesha shughuli zake. Tunashukuru kwa kututembelea.
No comments: